Habari,
Mustafa e-services & online application, inawatangazia wahitimu wote wa kidato cha sita kuwa tunatoa huduma ya maombi ya mkopo kwa bei nafuu na kwa haraka.
Ewe mzazi, mlezi na ndugu wa muhitimu wa kidato cha sita 2025 na wale wanaoendelea na masomo, njoo kwa mustafa e-services kwa huduma ya haraka na ya uhakika.
tunauzoefu wa kutosha kwa miaka mingi.
karibu tukuhudumie
asante!
Tupigie kupitia
0719891310
No comments:
Post a Comment