Ni muhimu kwa watanzania wote wenye uhitaji wa
- Kuomba cheti kipya cha kuzaliwa
- Uhakiki wa cheti cha kuzaliwa kwa ajili ya maombi ya mkopo wa wanafunzi wa elimu ya juu.
- Uhakiki wa cheti cha kifo kwa ajili ya maombi ya mkopo wa wanafunzi wa elimu ya juu
- Kubadili cheti cha zamani kupata cheti kipya
Vitu muhimu vya kuzingatia ni viwili au zaidi
- Kadi Ya cliniki ya mwombaji
- Prems number ya elimu ya sekondari
- Prems namba ya elimu ya msingi
- Kadi ya mpiga kura ya mwombaji
- Tangazo la kizazi la mwombaji
- Utambulisho wa wazazi (kitambulisho cha mpiga kura au utaifa wa wazazi)
No comments:
Post a Comment