WELCOME TO MUSTAFA DIGITAL WORLD ACADEMY >>>>>>>> MUDWA IS YOUR SOLUTION FOR .....(HESLB APPLICATION, BIRTH &DEATH SERVICES- eRITA, UNI APPLICATIONS!, PASSPORT,TIN NUMBER etc. FOR ANY INQUIRY CALL US THROUGH>>>>>> +255719891310

Monday, 28 April 2025

SUMMARIZED NOTES OF HUMAN POPULATION AND DEVELOPMENT FOR FORM SIX STUDENTS By Mwalimu Mustafa

CLIMATOLOGY - A SUMMARIZED NOTES OF ATMOPSHERIC PRESSURE By mwalimu Mustafa

THE STUDY OF SOIL FOR FORM SIX STUDENTS (THE SUMMARIZED NOTES)

VITU VYA KUZINGATIA KWA MAOMBI MAPYA YA CHETI CHA KUZALIWA

Ni muhimu kwa watanzania wote wenye uhitaji wa

  1.   Kuomba cheti kipya cha kuzaliwa   
  2. Uhakiki wa cheti cha kuzaliwa kwa ajili ya maombi ya mkopo wa wanafunzi wa elimu ya juu. 
  3.  Uhakiki wa cheti cha kifo kwa ajili ya maombi ya mkopo wa wanafunzi wa elimu ya juu    
  4. Kubadili cheti cha zamani kupata cheti kipya

Vitu muhimu vya kuzingatia ni viwili au zaidi

  • Kadi Ya cliniki ya mwombaji
  • Prems number ya elimu ya sekondari
  • Prems namba ya elimu ya msingi
  • Kadi ya mpiga kura ya mwombaji
  • Tangazo la kizazi la mwombaji
  • Utambulisho wa wazazi (kitambulisho cha mpiga kura au utaifa wa wazazi)

Sunday, 27 April 2025

FOMU YA USAJILI WA WANAFUNZI WANAOTAKA KUOMBA MKOPO WA ELIMU YA JUU MWAKA 2025

 Bofya kiunganishi hiki ili kuweza kujisajiri

MUHIMU KWA WAOMBAJI WA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU (HESLB) 2025

 Habari,

Mustafa e-services & online application, inawatangazia wahitimu wote wa kidato cha sita kuwa tunatoa huduma ya maombi ya mkopo kwa bei nafuu na kwa haraka. 

Ewe mzazi, mlezi na ndugu wa muhitimu wa kidato cha sita 2025 na wale wanaoendelea na masomo, njoo kwa mustafa e-services kwa huduma ya haraka na ya uhakika.

tunauzoefu wa kutosha kwa miaka mingi.

karibu tukuhudumie

asante!

Tupigie kupitia 

0719891310


 

Saturday, 26 April 2025

UHAKIKI WA CHETI CHA KUZALIWA NA CHETI CHA KIFO KWAAJILI YA MAOMBI YA MKOPO WA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU (HESLB)

 

WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA WANATARAJIA KUOMBA MKOPO WA ELIMU YA JUU,HUU NI MWONGOZO WA UHAKIKI WA CHETI CHA KUZALIWA NA CHA KIFO.

ZINGATIA KILA HATUA ILI KUFANIKISHA MCHAKATO MZIMA WA MKOPO.

Karibu Mustafa e-services & online application tukuhudumie kwa weledina ufasaha bila makosa.